Print this Page

Mahitaji ya Hati ya Dharura (ETD Checklist)

  • Fomu ya Hati ya Dharura iliyojazwa kikamilifu
  • Picha tatu (3) passport size
  • Barua ya maombi ieleze udharura wa safari
  • Ushahidi wa Uraia wa Tanzania wa mwombaji (Cheti cha kuzaliwa, Kopi ya Pasipoti ya Tanzania)
  • Kama anayeombewa Hati ya Dharura ni mtoto ambaye hajawahi kupata Pasipoti. Ombi liambatanishwe na Cheti cha kuzaliwa mtoto pamoja na vivuli vya pasipoti za Wazazi
  • Kama umepoteza Pasipoti, ombi la Hati ya Dharura ni lazima lifuate masharti yale yale ya maombi ya Pasipoti zilizopotea

Permanent link to this article: http://tanzaniahighcomm.co.uk/?page_id=612